
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Japan
Tobacco Inc ya Nchini Japan Bw. Mutsuo Iwai ambao ni wamiliki washirika
wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) katika Mkutano wa wakuu wa nchi na
Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia.