Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Baraka H. Luvanda atazungumza na wanahabari wote

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Balozi Baraka H. Luvanda atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Septemba 7, 2022, saa 5 kamili asubuhi kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Tokyo - Japan.
Jinsi ya Kushiriki:

Bofya  https://bit.ly/3ANm5tc
Au tumia
Meeting ID: 875 7838 0873
Passcode: 497540

NB: Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie *MUDA*.

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments