Dkt.Shein, Mpango watoa mkono wa pole kwa familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi leo

NA DIRAMAKINI

RAIS mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Philip Isdori Mpango kwa nyakati tofauti waameifariji familia ya Rais mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kutokana na kifo cha mtoto wake, Hassan Ali Hassan kilichotokea Jumatano wiki hii katika Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mstaafu Awamu ya Saba, Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu wa Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa kufiwa na mtoto wake, marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja, kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo na kulia kwa Mzee Mwinyi  ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) na Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Saba, Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu wa Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa kufiwa na mtoto wake marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja, kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo na kulia kwa Mzee Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) na Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Saba, Alhaj Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na kutoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa kufiwa na mtoto wake marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi na kulia kwa Mzee Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi, alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo.
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kupokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) na Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Awamu ya Saba, Alhaj Dkt.Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwa marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Saba, Alhaj Dkt.Ali Mohamed Shein akitoa mkono wa pole kwa watoto wa marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.
Hafla hiyo ilyioambatana na dua ilifanyika nyumbani kwa marehemu Chukwani Mkoa Mjini Magharibi ambapo viongozi hao pia walipata fursa ya kutoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mama Siti Mwinyi, Mke wa marehemu Fauzia Salim Hilali pamoja na wanafamilia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akitoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kwa kufiwa na mtoto wake marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi, na kulia kwa Mzee Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu kutoa mkono wa pole kwa familia leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akiwa na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakitoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili, Alhaj.Ali Hassan Mwinyi, kwa kufiliwa na mtoto wake marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo na kulia kwa Mzee Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akitoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa kufiwa na mtoto wake marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi na kulia kwa Mzee Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwa marehemu kutoa mkono wa pole kwa familia leo.(Picha na Ikulu).

Walimuomba Mwenyezi Mungu amsamehe marehemu madhambi yake na kuwataka wafiwa kuwa na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mpendwa wao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news