JUMAMOSI HII:Ni zamu ya Mara, Kigoma na Kagera muda ukifika utafahamishwa fursa lukuki

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Jumamosi ya Oktoba 1, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya Maendeleo na fursa mbalimbali za kiuchumi katika mikoa ya Mara, Kigoma na Kagera.
Muda ukifika saa 5 kamili, Oktoba 1, 2022 (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3xYvopu

Au kupitia
Meeting ID: 836 4108 1713
Passcode: 320738

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments