Kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuitwa bosi na kumiliki mali nyingi

NA MWANDISHI WETU

KWA majina ninaitwa, Priscilla Kishama mume wangu ni mfanyabiashara mashuhuri ambaye ana magari ya abiria mengi na kwa siku huwa anatengeneza fedha nyingi sana ambazo huwa anaziweka benki.

Ninaweza kukiri kuwa, hakika sisi ni matajiri,lakini kumbuka kuwa tulipoingia katika mahusiano naye alikuwa mtu maskini asiyejiweza, hata chakula cha kila siku ikawa ni ndoto kwetu, kwani mara nyingi tulilala njaa kana kwamba hatuna elimu yoyote.

Mimi nimesomea taaluma ya masoko naye amesomea uhandisi, lakini kupata kazi ikawa vigumu. Jambo lililofanya aanze kufanya biashara ndogondogo jijini Mwanza.

Aling’ang’ana mno kwa miaka mitatu bila mafanikio na hadi tukaanza kufikiria kurudi nyumbani kijijini. Hali ilibadilika ikawa hata ngumu zaidi wakati mwingine kulipia kodi nyumba tuliyokuwa tumekodisha ilikuwa vigumu na mwenyewe akaiweka kufuli.

Tulilala kwa jirani siku hiyo na siku iliyofuata asubuhi tukafungasha virago kurudi kwetu vijijini huko Bunda. Ilikuwa aibu kubwa.

Maisha magumu yalitusonga na kutuandama hadi huko vijijini hadi wakati rafiki yangu mama Zubedah alipotutembelea na kutuambia siri ya kuimarisha maisha yetu.

Alitusimulia maisha yake alivyokuwa kwa muda mrefu hadi pale alipomtembelea daktari mmoja mashuhuri wa miti shamba.

Zubedah, alimuita Daktari Kiwanga. Alitupatia namba ya simu ya daktari huyo kisha akatuambia tumtemtembelee ili atutengeneze na kutufungulia baraka zetu.

Kwa kweli, kwa sababu tulikuwa tumefika mwisho ilibidi tuende tumuone mimi na mume wangu na tulipofika kwa Kiwanga alichukuwa muda kidogo sana kutufanyia Spell Casting Services na kisha akaturuhusu turudi nyumbani.

Ajabu, siku hazikuisha tatu, mume wangu alikuwa ameitiwa kazi Nairobi na shirika moja la Afrika Kusini. Kwa sasa yeye ndiye mkubwa wao nchini Kenya.

Sasa, tunaishi maisha mazuri mno, kwani ana mshahara mnono na marupurupu ya kila wiki. Ninamshukuru Dokta Kiwanga.

Tulipofika kwa Kiwanga Doctors, tulikuta wanatatua shida nyingi kama kupata mpenzi, kurudisha mpenzi, kuongezewa madaraka kazini, kuleta furaha na amani katika familia na nyinginezo.

Pia wanasaidia kuimarisha nyota yako pamoja na kupata dawa ya mvuto kwa mwanaume au mwanamke. Tuliambiwa kuwa, si lazima usafiri hadi ofisi zao. Unaweza kuongea nao kwa njia ya simu na utasaidika kwa haraka
kama vile watu wengine wanavyopata usaidizi.

Aidha, Kiwanga wanatibu magonjwa sugu kama Kisukari, Pressure kwa kutumia miti shamba na mengineyo. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 kwa ajili ya kupata huduma. Pia unaweza kupitia mtandao huu; www.kiwangdoctors.com au kwa barua pepe yaani; kiwangadoctors@gmail.com.

Picha na destination-innovation

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news