🔴LIVE:Hizi hapa fursa kabambe za kiuchumi kutoka Iringa, Rukwa, Mbeya na Katavi

WATCH Tanzania inakukaribisha katika mkutano huu maalum unaofanyika leo Septemba 10, 2022 kwa njia ya Mtandao wa ZOOM kuanzia muda huu na kuendelea.
MADA:Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Nyanda za Juu kusini-Iringa, Rukwa, Mbeya na Katavi

Pia unaweza kushiriki katika mkutano huu moja kwa moja kwa kujiunga kupitia kiunganishi kifuatacho;
ID: 847 6681 4770
Passcode: 331100

Post a Comment

0 Comments