🔴LIVE:Hizi hapa fursa kutoka Simiyu, Geita na Songwe

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum na muhimu unaofanyika leo Jumamosi Septemba 24, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Simiyu, Geita na Songwe.

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya bit.ly/3QVDUfv

Au kupitia
Meeting ID: 871 1939 6811
Passcode: 511223

Mkutano huu unarushwa mubashara Youtube kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel Tanzania.

Post a Comment

0 Comments