🔴LIVE:Mkutano wa wadau wa Sekta ya Milki Tanzania


Leo Septemba 1, 2022 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Dkt.Angeline Mabula anashiriki katika mkutano wa wadau wa Sekta ya Milki Tanzania ambao unafanyika jijini Dar es Salaam. Mkutano huu wa siku mbili umelenga kufanya tathimini ni wapi wametoka, wapo wapi na wanaelekea wapi.

Post a Comment

0 Comments