LIVE:Waziri Ummy akizungumzia Bima ya Afya kwa Wote

WAZIRI WA AFYA, MHESHIMIWA UMMY MWALIMU AKIZUNGUMZIA KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE LEO SEPTEMBA 27, 2022.
Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa inasema nusu ya idadi ya watu duniani hawapati huduma muhimu za afya huku wakitumia asilimia 10 ya mapatao yao kusaka huduma hizo na hivyo kutumbukia kwenye umaskini, hivyo kufanikishwa kwa mpango wa bima ya afya kwa wote nchini Tanzania ni ishara njema ambayo itawezesha watu kupata matibabu popote pale walipo.


Post a Comment

0 Comments