Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 27,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.06 na kuuzwa kwa shilingi 631.27 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.32 na kuuzwa kwa shilingi 148.62.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 27, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2218.86 na kuuzwa kwa shilingi 2241.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.94 na kuuzwa kwa shilingi 16.10 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.77 na kuuzwa kwa shilingi 323.79.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 203.40 na kuuzwa kwa shilingi 205.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.41 na kuuzwa kwa shilingi 128.64.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.26 na kuuzwa kwa shilingi 9.82.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2485.63 na kuuzwa kwa shilingi 2511.18 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.16 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2295.77 na kuuzwa kwa shilingi 2318.73 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7395.22 na kuuzwa kwa shilingi 7466.77.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.14 na kuuzwa kwa shilingi 28.45 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.04 na kuuzwa kwa shilingi 19.20.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 27th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.0571 631.2733 628.1652 27-Sep-22
2 ATS 147.3198 148.6251 147.9724 27-Sep-22
3 AUD 1491.7928 1507.6382 1499.7155 27-Sep-22
4 BEF 50.2522 50.697 50.4746 27-Sep-22
5 BIF 2.1981 2.2146 2.2064 27-Sep-22
6 BWP 171.4942 173.9048 172.6995 27-Sep-22
7 CAD 1680.5302 1696.8386 1688.6844 27-Sep-22
8 CHF 2321.7762 2344.0457 2332.9109 27-Sep-22
9 CNY 320.773 323.7997 322.2864 27-Sep-22
10 CUC 38.3288 43.5688 40.9488 27-Sep-22
11 DEM 919.8911 1045.6505 982.7708 27-Sep-22
12 DKK 298.4235 301.3686 299.8961 27-Sep-22
13 DZD 15.7987 15.8933 15.846 27-Sep-22
14 ESP 12.1837 12.2912 12.2374 27-Sep-22
15 EUR 2218.8639 2241.5163 2230.1901 27-Sep-22
16 FIM 340.9428 343.964 342.4534 27-Sep-22
17 FRF 309.0409 311.7746 310.4078 27-Sep-22
18 GBP 2485.6326 2511.1846 2498.4086 27-Sep-22
19 HKD 292.4625 295.3834 293.9229 27-Sep-22
20 INR 28.1431 28.4193 28.2812 27-Sep-22
21 ITL 1.0469 1.0562 1.0516 27-Sep-22
22 JPY 15.9418 16.1001 16.0209 27-Sep-22
23 KES 19.0441 19.2027 19.1234 27-Sep-22
24 KRW 1.6083 1.6234 1.6158 27-Sep-22
25 KWD 7395.2206 7466.7676 7430.9941 27-Sep-22
26 MWK 2.0777 2.2376 2.1577 27-Sep-22
27 MYR 498.9725 503.5244 501.2484 27-Sep-22
28 MZM 35.374 35.6728 35.5234 27-Sep-22
29 NAD 93.3109 94.1381 93.7245 27-Sep-22
30 NLG 919.8911 928.0488 923.97 27-Sep-22
31 NOK 214.2998 216.3277 215.3137 27-Sep-22
32 NZD 1313.1817 1326.7773 1319.9795 27-Sep-22
33 PKR 9.2611 9.8251 9.5431 27-Sep-22
34 QAR 677.7088 684.4889 681.0989 27-Sep-22
35 RWF 2.1658 2.1955 2.1807 27-Sep-22
36 SAR 610.2531 616.1919 613.2225 27-Sep-22
37 SDR 2938.4737 2967.8585 2953.1661 27-Sep-22
38 SEK 203.4015 205.3809 204.3912 27-Sep-22
39 SGD 1601.0686 1616.065 1608.5668 27-Sep-22
40 TRY 124.4523 125.6288 125.0405 27-Sep-22
41 UGX 0.5754 0.6038 0.5896 27-Sep-22
42 USD 2295.7723 2318.73 2307.2511 27-Sep-22
43 GOLD 3768510.1931 3811760.247 3790135.22 27-Sep-22
44 ZAR 127.4155 128.6375 128.0265 27-Sep-22
45 ZMK 141.8407 147.221 144.5308 27-Sep-22
46 ZWD 0.4296 0.4383 0.434 27-Sep-22

Post a Comment

0 Comments