Maagizo ya Serikali kuhusu waajiriwa wapya 553 TAKUKURU


NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kuweka kipengele kwenye mkataba wa waajiriwa wapya 553 wa TAKURURU chenye sharti la kutumikia miaka mitano katika taasisi hiyo kabla ya kufikiria kuhamia taasisi nyingine ili kutimiza lengo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan la kutokomeza vitendo vya rushwa nchini.

Post a Comment

0 Comments