Mbowe aongoza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe leo Septemba 17,2022 ameongoza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments