Mwenyekiti wa TEF asaini kitabu cha maombolezo kifo cha Malkia Elizabeth II


Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam leo. Malikia Elizabeth alifariki tarehe 8 Septemba 2022, anatarajiwa kuzikwa leo tarehe 19 Septemba 2022.






Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar (mwenye shati jeupe) baada ya kutia Saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news