Naibu Spika ateta na Spika wa Morocco jijini Rabat
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami jijini Rabat nchini Morocco.

Post a Comment

0 Comments