Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa, usajili wa Yanga uliopitishwa na CAF kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Mchezaji Crispin Ngushi ndio mchezaji pekee ambaye hakupitishwa na CAF kutokana na Young Africans kushindwa kumsajili kwenye mfumo wa usajili wa ndani TFF/FIFA Connect.TFF:Usajili wa Yanga SC ulipitishwa na CAF,Crispin Ngushi hakupitishwa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa, usajili wa Yanga uliopitishwa na CAF kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Mchezaji Crispin Ngushi ndio mchezaji pekee ambaye hakupitishwa na CAF kutokana na Young Africans kushindwa kumsajili kwenye mfumo wa usajili wa ndani TFF/FIFA Connect.