Rais Dkt.Mwinyi ateta na ujumbe kutoka Afro-Asian Union (AFASU)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka nchini Misri ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo, Dkt.Hossam Darwish, walipofika Ikulu jijini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka nchini Misri, Dkt.Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo Septemba 24, 2022.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments