Rais Dkt.Mwinyi aelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea mkoani Dodoma kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na viongozi mbalimbali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar akielekea mkoani Dodoma leo Septemba 24, 2022 kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments