Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Septemba, 2022.

Post a Comment

0 Comments