Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 15,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.05 na kuuzwa kwa shilingi 16.21 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.65 na kuuzwa kwa shilingi 332.88.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 15, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.29 na kuuzwa kwa shilingi 217.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.71 na kuuzwa kwa shilingi 132.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.83 na kuuzwa kwa shilingi 2317.78 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7434.82 na kuuzwa kwa shilingi 7506.74.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.29 na kuuzwa kwa shilingi 9.82.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2295.29 na kuuzwa kwa shilingi 2319.17.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2653.05 na kuuzwa kwa shilingi 2680.51 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.80 na kuuzwa kwa shilingi 631.01 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.26 na kuuzwa kwa shilingi 148.56.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.91 na kuuzwa kwa shilingi 29.18 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.07 na kuuzwa kwa shilingi 19.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 15th, 2022 according to Central Bank (BoT);


S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.801 631.0147 627.9078 15-Sep-22
2 ATS 147.2594 148.5642 147.9118 15-Sep-22
3 AUD 1542.8153 1559.1706 1550.993 15-Sep-22
4 BEF 50.2316 50.6763 50.4539 15-Sep-22
5 BIF 2.1972 2.2137 2.2055 15-Sep-22
6 BWP 175.5546 178.7008 177.1277 15-Sep-22
7 CAD 1741.0149 1757.8915 1749.4532 15-Sep-22
8 CHF 2389.4541 2411.8418 2400.6479 15-Sep-22
9 CNY 329.6462 332.8805 331.2633 15-Sep-22
10 CUC 38.3131 43.5509 40.932 15-Sep-22
11 DEM 919.5142 1045.2221 982.3682 15-Sep-22
12 DKK 308.7314 311.7768 310.2541 15-Sep-22
13 DZD 16.3854 16.4865 16.4359 15-Sep-22
14 ESP 12.1787 12.2861 12.2324 15-Sep-22
15 EUR 2295.2906 2319.1707 2307.2307 15-Sep-22
16 FIM 340.8031 343.8231 342.3131 15-Sep-22
17 FRF 308.9143 311.6469 310.2806 15-Sep-22
18 GBP 2653.0549 2680.5126 2666.7837 15-Sep-22
19 HKD 292.3948 295.315 293.8549 15-Sep-22
20 INR 28.9076 29.1765 29.0421 15-Sep-22
21 ITL 1.0465 1.0558 1.0511 15-Sep-22
22 JPY 16.0489 16.206 16.1274 15-Sep-22
23 KES 19.0759 19.2347 19.1553 15-Sep-22
24 KRW 1.6491 1.6634 1.6562 15-Sep-22
25 KWD 7434.8205 7506.7366 7470.7785 15-Sep-22
26 MWK 2.0819 2.2522 2.1671 15-Sep-22
27 MYR 507.1451 511.7642 509.4547 15-Sep-22
28 MZM 35.3595 35.6582 35.5088 15-Sep-22
29 NAD 99.9262 100.8081 100.3672 15-Sep-22
30 NLG 919.5142 927.6686 923.5914 15-Sep-22
31 NOK 227.0986 229.3015 228.2001 15-Sep-22
32 NZD 1375.5221 1390.2044 1382.8633 15-Sep-22
33 PKR 9.2968 9.8211 9.5589 15-Sep-22
34 QAR 721.6252 727.6883 724.6567 15-Sep-22
35 RWF 2.1793 2.2568 2.2181 15-Sep-22
36 SAR 610.4899 616.4309 613.4604 15-Sep-22
37 SDR 2998.8401 3028.8285 3013.8343 15-Sep-22
38 SEK 215.2912 217.3829 216.337 15-Sep-22
39 SGD 1633.9136 1649.3133 1641.6135 15-Sep-22
40 TRY 125.7228 126.9105 126.3167 15-Sep-22
41 UGX 0.5782 0.6067 0.5925 15-Sep-22
42 USD 2294.8317 2317.78 2306.3058 15-Sep-22
43 GOLD 3913376.4693 3954364.458 3933870.4637 15-Sep-22
44 ZAR 131.7135 132.9162 132.3149 15-Sep-22
45 ZMK 146.3371 148.8141 147.5756 15-Sep-22
46 ZWD 0.4294 0.4381 0.4338 15-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news