Waziri Mhandisi Masauni ateta na Balozi wa Ethiopia hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kabla ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, yaliyofanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, baada ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, yaliyofanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Post a Comment

0 Comments