Balozi Dkt.Jilly Maleko atazungumza na waandishi wa habari wote nchini

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi,Dkt. Jilly Maleko atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Oktoba 26, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi, moja kwa moja kutokea jijini Bujumbura - nchini Burundi.
Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya https://bit.ly/3N2hAkg

Au tumia
Meeting ID: 860 2369 5635
Passcode: 194685

NB. Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA.

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments