Hivi hapa viingilio kati ya Simba SC dhidi ya Primeiro de Agosto siku ya Oktoba 16, 2022


Tiketi za mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Primeiro de Agosto zinapatikana kupitia mitandao ya simu na vituo vyote vya TTCL nchini. Mtanange huo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments