KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UFANISI WA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) Mhe. Abdallah Chaurembo kupitia kamati yake ameipongeza Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kwa usimamizi mzuri na uadilifu katika matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo walizotengewa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2021, ambapo idara hiyo imeokoa kiasi cha shilingi milioni 800 ambazo zimeelekezwa katika maeneo mengine kuwahudumia wananchi.

Post a Comment

0 Comments