Kariakoo Derby; Kuelekea Katika Mchezo wa Simba na Yanga, Nani Mbabe? Ni Ijumaa hii,USIKOSE

WATCH  Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Oktoba 21, 2022 (Ijumaa) kuanzia saa 9 kamili Alasiri hadi saa 11:30 jioni.
Mada;Kariakoo Derby; Kuelekea Katika Mchezo wa Simba na Yanga, Nani Mbabe?
Muda ukifika (Saa 9 kamili alasiri, Oktoba 21, 2022 - (Ijumaa) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3CwsmKB

Au kupitia
Meeting ID: 885 0593 8305
Passcode: 136999

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu.

Post a Comment

0 Comments