Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 18,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.32 na kuuzwa kwa shilingi 631.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 18, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.94 na kuuzwa kwa shilingi 10.54.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2240.25 na kuuzwa kwa shilingi 2263.58.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.44 na kuuzwa kwa shilingi 15.59 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 318.99 na kuuzwa kwa shilingi 322.09.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2598.32 na kuuzwa kwa shilingi 2625.23 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.75 na kuuzwa kwa shilingi 2319.72 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7402.19 na kuuzwa kwa shilingi 7473.81.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.94 na kuuzwa kwa shilingi 28.19 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.99 na kuuzwa kwa shilingi 19.15.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 204.15 na kuuzwa kwa shilingi 206.14 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.85 na kuuzwa kwa shilingi 128.09.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 18th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.324 631.5428 628.4334 18-Oct-22
2 ATS 147.3827 148.6886 148.0356 18-Oct-22
3 AUD 1438.6858 1453.5366 1446.1112 18-Oct-22
4 BEF 50.2737 50.7187 50.4962 18-Oct-22
5 BIF 2.199 2.2156 2.2073 18-Oct-22
6 BWP 170.1894 173.2831 171.7362 18-Oct-22
7 CAD 1666.9709 1683.1519 1675.0614 18-Oct-22
8 CHF 2296.9822 2319.0243 2308.0032 18-Oct-22
9 CNY 318.9978 322.0939 320.5458 18-Oct-22
10 CUC 38.3452 43.5874 40.9663 18-Oct-22
11 DEM 920.2839 1046.097 983.1904 18-Oct-22
12 DKK 301.2569 304.2296 302.7432 18-Oct-22
13 DZD 15.9984 16.0972 16.0478 18-Oct-22
14 ESP 12.1889 12.2964 12.2427 18-Oct-22
15 EUR 2240.2524 2263.5828 2251.9176 18-Oct-22
16 FIM 341.0883 344.1108 342.5996 18-Oct-22
17 FRF 309.1729 311.9077 310.5403 18-Oct-22
18 GBP 2598.3161 2625.2271 2611.7716 18-Oct-22
19 HKD 292.5948 295.517 294.0559 18-Oct-22
20 INR 27.9393 28.1999 28.0696 18-Oct-22
21 ITL 1.0474 1.0567 1.052 18-Oct-22
22 JPY 15.4404 15.5916 15.516 18-Oct-22
23 KES 18.9893 19.1475 19.0684 18-Oct-22
24 KRW 1.5999 1.6154 1.6076 18-Oct-22
25 KWD 7402.1931 7473.8063 7437.9997 18-Oct-22
26 MWK 2.0818 2.2495 2.1657 18-Oct-22
27 MYR 487.1161 491.6744 489.3953 18-Oct-22
28 MZM 35.3891 35.688 35.5385 18-Oct-22
29 NAD 92.1472 92.902 92.5246 18-Oct-22
30 NLG 920.2839 928.4451 924.3645 18-Oct-22
31 NOK 217.1439 219.2531 218.1985 18-Oct-22
32 NZD 1289.1672 1302.9867 1296.0769 18-Oct-22
33 PKR 9.9404 10.5442 10.2423 18-Oct-22
34 QAR 713.8231 720.8202 717.3216 18-Oct-22
35 RWF 2.1465 2.1842 2.1654 18-Oct-22
36 SAR 611.3262 617.2751 614.3007 18-Oct-22
37 SDR 2931.8045 2961.1226 2946.4636 18-Oct-22
38 SEK 204.1503 206.1369 205.1436 18-Oct-22
39 SGD 1611.7561 1627.3027 1619.5294 18-Oct-22
40 TRY 123.561 124.7631 124.1621 18-Oct-22
41 UGX 0.5757 0.6041 0.5899 18-Oct-22
42 USD 2296.7525 2319.72 2308.2362 18-Oct-22
43 GOLD 3821865.0214 3861243.5316 3841554.2765 18-Oct-22
44 ZAR 126.8511 128.0863 127.4687 18-Oct-22
45 ZMK 139.9931 145.3094 142.6513 18-Oct-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 18-Oct-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news