🔴LIVE:Balozi Mlima akizungumza na wanahabari nchini Tanzania

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda,Dkt. Aziz Ponary Mlima, akizungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo Jumatano, Oktoba 12, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Kampala nchini Uganda.
Wanahabari wote mnaweza kushiriki kwa;

Bofya https://bit.ly/3SQ89GH
Au tumia
Meeting ID: 815 1157 2797
Passcode: 690269

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments