🔴LIVE:Hizi hapa fursa za kiuchumi kutoka Shinyanga,Singida na Tabora

MATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika leo Jumamosi ya Oktoba 8, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada; Mjadala wa Kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Shinyanga, Singida na Tabora.

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3ruO6Bs

Au kupitia
Meeting ID: 838 5356 8564
Passcode: 501287

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments