MHE.NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI KUTOHOFIA KUELEZA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO ILI ZITATULIWE

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kutoogopa kuwasilisha changamoto zinazowakabili kwa kuwahofia waajiri kuwajengea chuki na kuwaahidi kuwa, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora itawalinda kwa sababu Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anataka kupata mrejesho utakaoiwezesha Serikali kuujenga Utumishi wa Umma wenye uadilifu na unaowajibika kwa masilahi ya taifa.

Post a Comment

0 Comments