MHE. JENISTA AWATAKA VIONGOZI NA WATENDAJI SERIKALINI KUSIMAMIA KIKAMILIFU RASILIMALIWATU

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amewataka Viongozi na Watendaji katika taasisi za umma kusimamia kikamilifu rasilimali watu ili kuepusha migogoro sehemu za kazi kwa ustawi wa taifa.

Post a Comment

0 Comments