Nimeshinda kesi ya kufungwa Gerezani miaka 30

NA MWANDISHI WETU

MAISHA ya binadamu yamejaa changamoto sana, kila kukicha unaweza ukajikuta siku hiyo inakuwa nzuri kwako au mbaya kulingana na changamoto ya maisha itakayokukuta hiyo siku.

Mimi ni mkazi wa Kisumu nina umri wa miaka 35 sasa ila nimeweza kukutana na mambo mengi sana, mengine ya kukatisha tamaa ya kuishi ila kulingana na imani yangu niliyokuwa nayo nilijitaidi sana kuomba mungu kila siku na kutokata tamaa kabisa.

Kuna watu wengi wapo katika Magereza mbalimbali hapa nchini na wanatumikia adhabu mbalimbali ila siyo watu wote ambao wapo Gerezani wamefanya mambo mabaya katika jamii zetu.

Yes! kuna ambao kweli wamefanya na ni haki yao kutumikia adhabu pia kuna wengine wapo wanatumikia adhabu ya Gerezani ila hakuna chochote walichofanya zaidi ya kuonewa tu.

Hayo yote yanatokana na changamoto za maisha zinazomkuta binadamu kila siku. Nikiwa na umri wangu wa miaka 28 nilikuwa na girlfriend (Sharon) ambaye tulipendana kwa muda mrefu,kulingana na upendo tuliokuwa nao kuna baadhi ya marafiki zake waliweza kunifahamu hata ninapoishi.

Siku moja asubui nilimpigia simu Sharon aje kwangu Kisumu tupatane,aliitikia wito wangu akajiandaa kutoka Kakamega kwao na baada ya saa mbili alikuwa tayari amefika home.

Siku hiyo tuliweza kuwa na maongezi zaidi na kupanga lini niende kwao ili wanitambue na tuweze kupata ridhaa ya wazazi kutoka pande mbili ili tuweze kuoana.

Baada ya maongezi yetu kwa muda mrefu ilipofika saa 8:00 usiku alipanda gari na kuelekea Kakamega kwao,mimi nilibaki na furaha sana, nikiwa na imani kuwa muda si mrefu nitaweza kufunga ndoa na Sharon.ilipotimia saa 10:45 usiku nikachukua simu yangu nikampigia ili niweze kufahamu kama amefika salama.

Nilipiga simu ila hakuweza kupokea simu yangu kulingana na mvua ilikuwa imenyesha sana, nikahisi kuwa bado hajafika kwao ndio shida ilipofika saa 11:30 usiku nikapiga simu yake tena bado Sharon hakupokea simu, nikaamua kulala na kusubiri pengine huenda nitawasiliana nae asubuhi.

Nilivyohamka asubuhi nikakuta umeme hamna na simu yangu ipo empty kabisa ikanibidi nisubiri umeme urudi ili niweze kuchaji simu yangu, kabla sijatoka kitandani nikasikia watu mlangoni kwangu wakiniambia nifungue nilipofungua nikaona askari wawili pamoja na rafiki yake Sharon nikawakaribisha ndani na kuwahuliza niwasaidie nini,ndipo askari mmoja akaniambia nisiongee wala kuuliza jambo lolote hadi nitakapofika kituo cha polisi.

Tukiwa kwenye gari ndipo rafiki yake Sharon akaniambia kuwa Sharon amefariki jana usiku.Nilivyosikia hayo maneno nikahisi kama vile naota wala sikuweza kuamini nilichosikia.

Nilipofikishwa kituoni nilikuta askari akanihoji,nilikubali kuwa Sharon namjua na mchana wa siku hiyo nilishinda nae kwangu kisha jioni akarudi kwao na nikaweleza kuwa nilipiga simu yake hakuweza kupokea ndipo askari akanijubu kuwa Sharon amefariki jana usiku.

Askari wanaofanya doria ndiyo waliweza kuukuta mwili wa Sharon barabarani na kusisitiza kuwa mimi ndio muhusika na upelelezi unazidi kufanyika na ukitimia nitachukuliwa kwenda mahakamani kwa ajili ya hukumu.

Siku tatu baadae kweli nilipelekwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30,kwa madai upelelezi umebainisha kuwa mimi ndiye muhusika wa kifo cha mwenda zake.

Nilimweleza hakimu kuwa, mimi sijui chochote juu ya kifo cha Sharon ila hakimu alitoa amri kuwa nichukuliwe kwenda Gerezani na akataja jina la Gerezani husika.

Nikiwa Gerezani ndugu na jamaa walikuwa wanatafuta namna ya kunisaidia, maana niliwambia kuwa mimi sihusiki hata kidogo katika janga lililomkuta mpenzi wangu, hata mimi najiuliza nani muhusika.

Nikiwa Gerezani nilikutana na mfungwa mwenzangu, tukiwa katika maongezi ndipo nilimueleza sababu iliyonifanya niwe Gerezani hapo.

Rafiki huyo aliweza kunipatia namba ya Dr.Kiwanga na kuniambia kuwa huyo Dr.Kiwanga alimsaidia Dada yake kurudisha mumewe ambaye alikuwa amemuacha nyumbani mwaka mmoja kisha kunishauri kuwa niwapatie ndugu zangu wampigie Dr.Kiwanga kwa namba hii +254 769404965 atanisaidia.

Nilifanya hivyo, ndugu zangu wakaenda ofisini kwake wakamueleza shida yangu,Dokta akasema atanisaidia nipate haki yangu na kazi yangu ataifanya kwa siku tatu.

Kabla ya siku tatu kuisha mkuu wa Gereza alituma askari kuja kunitoa Gerezani nilipofika ofisini kwake nikakuta vijana wawili na mmoja wao ni John ambaye alikuwa ex-boyfriend wa Sharon na kuambiwa kuwa hao ndio wahusika na mimi niko huru.

Baada ya kutoka Gerezani niliambatana na ndugu na jamaa hadi kwa Dr.Kiwanga kutoa shukurani zangu ndipo Dr.Kiwanga akasema anatatua shida mbali mbalimbali kama vile kumrudisha mpenzi, kufunga mme au mke asiende nje ya ndoa, kusafirisha nyota,magic ring na magic wallet.

Zaidi akasema anatibu magonjwa sugu kama Pressure,Diabetes,TB,Syphilis na Gonorrhea.Unaweza kumpata Dr.kiwanga kwa namba kumpigia simu au whatsapp namba +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news