Rais Dkt.Mwinyi ateta na Ujumbe kutoka India


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Ngazi ya Juu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya India unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika, Mhe.Dammu Ravi (wa pili kulia) walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo Oktoba 7, 2022, kushoto ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika, Mhe.Dammu Ravi wakati wa mazungumzo na ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya India,walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika, Mhe.Dammu Ravi (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya India walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo, wengine ni miongoni ujumbe kushoto ni Binaya S.Pradhan na Punnet Roy Kundal.(Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika, Mhe.Dammu Ravi mara baada ya mazungumzo na ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya India walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news