Rais Samia ashiriki siku ya pili Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mmoja wa wachangiaji Wakuu wa mada mbalimbali katika siku ya pili ya Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali ya Sidra ambayo inatoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa Mama na Mtoto na kujionea utendaji kazi wa Kituo cha utafiti wa Kisayansi kuhusu masuala mbalimbali ya Kiafya, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news