Rais Samia atembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments