RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA KENYA DKT.WILLIAM RUTO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe.Dkt. William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments