Rais Samia ateta na ujumbe kutoka TotalEnergies

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments