TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI WOTE

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda,Dkt. Aziz Ponary Mlima, atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Oktoba 12, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi kwa saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Kampala nchini Uganda.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya https://bit.ly/3SQ89GH

Au tumia
Meeting ID: 815 1157 2797
Passcode: 690269

NB. Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA.
Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments