USIKOSE JUMAMOSI HII:Wataangazia Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Jumamosi ya Oktoba 15, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita
Muda ukifika saa 5 kamili asubuhi,Jumamosi ya Oktoba 15, 2022 utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya; 

https://bit.ly/3CpUbEa

Au kupitia
Meeting ID: 883 8972 2211
Passcode: 348252

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu.

Post a Comment

0 Comments