Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 4,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.27 na kuuzwa kwa shilingi 631.48 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.37 na kuuzwa kwa shilingi 148.68.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 4, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2242.14 na kuuzwa kwa shilingi 2265.49.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 206.35 na kuuzwa kwa shilingi 208.35 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.66 na kuuzwa kwa shilingi 128.91.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.62 na kuuzwa kwa shilingi 10.19.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2575.61 na kuuzwa kwa shilingi 2601.83 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.17 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.57 na kuuzwa kwa shilingi 2319.54 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7412.61 na kuuzwa kwa shilingi 7484.32.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.85 na kuuzwa kwa shilingi 16.01 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 322.85 na kuuzwa kwa shilingi 325.85.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.07 na kuuzwa kwa shilingi 28.35 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.03 na kuuzwa kwa shilingi 19.19.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 4th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.2755 631.4767 628.3761 04-Oct-22
2 ATS 147.3712 148.677 148.0241 04-Oct-22
3 AUD 1483.587 1498.8868 1491.2369 04-Oct-22
4 BEF 50.2698 50.7148 50.4923 04-Oct-22
5 BIF 2.1988 2.2154 2.2071 04-Oct-22
6 CAD 1673.7659 1690.0109 1681.8884 04-Oct-22
7 CHF 2321.6481 2344.6275 2333.1378 04-Oct-22
8 CNY 322.8473 325.8467 324.347 04-Oct-22
9 DEM 920.2125 1046.0158 983.1141 04-Oct-22
10 DKK 301.5856 304.5694 303.0775 04-Oct-22
11 ESP 12.1879 12.2955 12.2417 04-Oct-22
12 EUR 2242.1455 2265.4947 2253.8201 04-Oct-22
13 FIM 341.0619 344.0841 342.573 04-Oct-22
14 FRF 309.1489 311.8835 310.5162 04-Oct-22
15 GBP 2575.608 2601.828 2588.718 04-Oct-22
16 HKD 292.561 295.4828 294.0219 04-Oct-22
17 INR 28.0758 28.3496 28.2127 04-Oct-22
18 ITL 1.0473 1.0566 1.0519 04-Oct-22
19 JPY 15.8527 16.0068 15.9297 04-Oct-22
20 KES 19.035 19.1936 19.1143 04-Oct-22
21 KRW 1.5933 1.6075 1.6004 04-Oct-22
22 KWD 7412.6081 7484.3185 7448.4633 04-Oct-22
23 MWK 2.0786 2.2382 2.1584 04-Oct-22
24 MYR 494.3122 498.8258 496.569 04-Oct-22
25 MZM 35.3864 35.6852 35.5358 04-Oct-22
26 NLG 920.2125 928.373 924.2928 04-Oct-22
27 NOK 212.4294 214.4664 213.4479 04-Oct-22
28 NZD 1301.239 1315.1792 1308.2091 04-Oct-22
29 PKR 9.621 10.19 9.9055 04-Oct-22
30 RWF 2.1666 2.1928 2.1797 04-Oct-22
31 SAR 611.1161 616.8989 614.0075 04-Oct-22
32 SDR 2939.3395 2968.7329 2954.0362 04-Oct-22
33 SEK 206.3483 208.35 207.3492 04-Oct-22
34 SGD 1600.8464 1616.7422 1608.7943 04-Oct-22
35 UGX 0.5747 0.6031 0.5889 04-Oct-22
36 USD 2296.5742 2319.54 2308.0571 04-Oct-22
37 GOLD 3833878.0996 3873399.846 3853638.9728 04-Oct-22
38 ZAR 127.6569 128.9077 128.2823 04-Oct-22
39 ZMW 141.8993 145.5352 143.7172 04-Oct-22
40 ZWD 0.4298 0.4384 0.4341 04-Oct-22







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news