Watumishi EWURA waongezewa maarifa


Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt.Venance Shillingi akitoa mafunzo kwa wafanyakazi Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na. Maji (EWURA) Kanda ya Mashariki kuhusu namna nzuri ya utoaji wa huduma kwa wateja, wakati wa semina elekezi kwenye Wiki ya Huduma kwa Mteja iliyofanyika kwenye ofisi ya taasisi hiyo kando ya barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments