Waziri Mkuu akagua ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Mwanza-Isaka

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kipande cha reli cha majaribio wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha Isaka-Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Stesheni ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Amina Lumuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya wananchi na viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha Isaka-Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha Isaka - Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Stesheni ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa eneo katika Stesheni ya Fela kwenye ujenzi unaoendelea wa kipande cha reli ya Kisasa ( SGR) cha Mwanza Isaka ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua Ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha mbalimbali zinazoonesha miundombinu itakayojengwa katika kiapnde cha reli ya kisasa (SGR) cha Mwanza-Isaka wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa reli hiyo katika Stesheni ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news