Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2022/2023 Raundi ya Pili ni moto, vigogo wa soka wasipojipanga wataaibika

NA DIRAMAKINI

DROO ya Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo Novemba 30, 2022 jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Yanga SC watamenyana na Kurugenzi ya Simiyu.
Washindi wa pili wa msimu uliopita Coastal Union watacheza na Tanga Middle, huku Simba SC wakitarajiwa kukipiga na Eagle FC.
Kwa upande wa Azam FC kupitia Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) watamenyana na Malimao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news