BUNDI WA GAMBOSHI SEHEMU YA 56

NA WILLIAM BOMBOM

Ilipoishia... Ile sauti ilimnyong'onyeza mganga huyo, ilikuwa ni sauti ya kumtoa nyoka pangoni. Haki ya nani wanawake ni viumbe hatari, yaliyokuwa yanakwenda kumkuta mganga huyo ni siri yetu. Ghafla...

Endelea...

Mganga alimvamia mwanamke huyo maungoni mwake na kumkumbatia kwa nguvu. Wakati amemkumbatia mikono yake mganga huyo ilikuwa ikitalii kwenye ramani ya mwili wa mwanamke huyo.
Mganga alionekana kuwa fundi wa mambo na majambozi, yote yaliyokuwa yakifanyika tulikuwa tukiyashuhudia kwa macho yetu mawili. Tuliendelea kushuhudia video hiyo ya bure huku mhusika mkuu akiwa ndiye mganga.

Mganga alipeleka kijimkono chake kwenye paja la kulia la mwanamke huyo, wakati huo mkono wake mwingine ukishika msambwanda wa mama huyo.

Mwanamke huyo alijilegeza kike huku akimuachia mganga ashambulie dakika zote tisini za mechi. Mwanamke huyo alijua kabisa baada ya hapo kuna umatemate mkubwa atakaopata toka kwetu, kumbuka yeye alikuwa kazini hivyo alitakiwa kumpagawisha mganga.

Mizuka ilimpanda mganga wa watu akamnyanyua mwanamke huyo juu na kumbwaga kwenye nyasi zilizokuwa kichakani hapo, hakuwa na habari za wadudu kama nge, nyoka na tandu yeye alitaka ngono tu.

Japo alikuwa chali mama huyo,lakini bado maungoni mwake alikuwa kavaa dela na kitenge. Hadi hapo mganga alikuwa kautawala mpira, maana viungo wake, washambuliaji na winga muda wote walikuwa kwenye lango la mpinzani.

Ghafla ulimi wake akaupeleka sikioni mwa mwanamke huyo huku kidole chake cha kati kikihangaika kupenya katikati ya asali. Mama wa watu akawa anahema haraka haraka mithili ya kinda la ndege juu ya kiota, mganga alibadili gia angani akahamia kifuani mwa mama huyo.

Alizishika chuchu za mama huyo akawa anazitomasa taratibu, wakati huyo mama wa watu akawa anagaragara kwenye nyasi hizo kwa mahanjumati aliyokuwa akiyapata toka kwa mganga.

Mganga alionekana kuwa mchezaji punda au kiraka, maana kila namba aliimudu katika mchezo huo.

Ghafla tukamshuhudia mganga akizitupia chuchu za mama huyo mdomoni mwake, akaanza kuzimung'unya taratibu mithili ya kibogoyo atafunavyo ugali wa moto.

Wakati huo kidole cha mganga cha kati kilikuwa mji wa uvinza kikihangaika na madini ya chumvi, si unajua tena mboga bila chumvi hainogi.

Wahenga walisema "umdhaniaye ndiye, kumbe siye" kwa haraka haraka usingeamini kama mganga alikuwa mtaalamu wa mambo hayo.

Kwa kuwa shida yetu ilikuwa ni kupata shahawa za mganga huyo, hivyo tuliendelea kuvumilia mpaka mwisho wa mchezo huo. Tulikuwa tukiamini kuwa "mvumilivu hula mbivu".

Mwanamke naye akaona siyo mnyonge kihivyo, akaamua kupandisha mashambulizi kwa adui yake. Kwa kuwa mganga alikuwa kavaa msuli ilikuwa ni rahisi kwa mwanamke huyo kulishika gobole la mganga.

Huwezi amini mganga akawa anahema mithili ya mwizi aliyenusurika kukamatwa na raia wenye hasira kali. Mwanamke aliendelea kulichezea gobole hilo kwa tahadhari ya juu huku akiogopa kupigwa risasi zilizokuwa zimejaa pomoni.

Mikono yao wote ilikuwa huru kutaliri mahali popote katika miili yao, yule mwanamke alipenyeza ulimi wake kinywani na kuunasa ulimi wa mganga. Alianza kuunyonya taratibu mithili ya njiwa juu ya paa wafanyavyo, mganga akawa anatetemeka kama kichaa aliyepigwa na mvua yabisi usiku kucha.

Mpaka hapo mechi ilionekana kubadilika, mama alionekana kupindua meza huku upepo ukimuendea vyema. Yeye ndiye aliyekuwa akiongoza kushambulia lango la mpinzani wake.

Mara mganga alijikuta yuko chini huku mama wa watu akiwa kamkalia juu, mama alishika koni ya mganga na kuitumbukiza mdomoni mwake huku akimung'unya mithili ya unga wa ubuyu.

Mganga akawa analia kama mtoto wa elimu ya awali aliyelazimishwa kwenda shule. Mama alionekana kuwa fundi, tena siyo fundi mchundo tu bali fundi mwashi aliyebobea katika ujenzi wa majengo ya serikali.

Wakati wakiendelea na hayo mama huyo alikuwa akisaula nguo za mganga moja baada ya nyingine, alikatoa kale kakoti ka mganga na kukatandika kwenye nyasi hizo, baada ya hapo aliutoa ule msuli na kubakiza pajama huku joka la mganga likionekana kuchachamaa.

Mama wa watu akaondoa kitenge chake kisha akavua kufuli lililokuwa linamkwamisha katika mchezo mtamu huo. Wakati mganga akiwa amebakiza pajama tu huku mwili mwingine yuko kama alivyozaliwa, yule mama yeye alibakiza dela lake.

Hapa niseme kidogo, vazi hili ni maarufu sana kwa miji ya Pwani hasa Dar es Salaam japo kwa sasa hata kwetu Kigoma linapendwa.

Ni vazi zuri ambalo ni pana na huficha maumbile halisi ya mtoto wa kike endapo kwa ndani atakuwa kajistiri kwa nguo zingine.

Ni vazi ambalo humfanya mwanamke kuwa huru na shughuli mbalimbali atakazokuwa akizifanya ima nyumbani au sehemu yeyote. Ni vazi linalomruhusu mwanamke kukimbia vyema endapo atakuwa kwenye hatari kuliko sketi.

Hata hivyo hasara za vazi hilo ni pamoja na kuwarahisishia wanaume wabakaji kukamilisha vitendo hivyo vya hovyo kwa wepesi.

Pia vazi hili limekuwa likitumiwa ndivyo sivyo na wanawake chakalamu, wapo ambao hulitumia kwenye ngoma kuwatamanisha wanaume waroho wa ngono.

Mbaya zaidi huliloanisha maji huku ndani wakiwa na wamevaa kufuli au hakuna kitu, kwa kuwa vazi hilo linakuwa limeloa ni rahisi kushika msambwanda hivyo kuwapagawaisha wanaume wakwale ngomani.

Pia vazi hilo linatumiwa vibaya na wanawake makahaba na wasio waaminifu kwa ndoa zao.

Ni rahisi sana kufanya ngono mahali popote ukiwa umevaa vazi hilo, mara nyingi mwanamke akijua anakwenda kubandua amri ya sita huwa ndani yake havai kufuli.

Hii humrahisishia kulinyanyua tu kisha shughuli inaendelea, awe amesimama, amechuchumaa au amelala vyovyote vile.

Wachawi tumezoea mambo mengi, kuna muda huwa tukitembelea majumbani katika harakati za shughuli zetu wengine huwa tunawakuta wakifanya ngono.

Hivyo tukio lililokuwa mbele yetu halikuwa na shida kwetu, maana ni jambo la kawaida katika kazi zetu za kichawi.

Basi baada ya hapo waliendelea na shughuli zao, lakini yule mama alikuwa kachukua pointi zote tatu. Alikuwa na uwezo wa kushambulia kutengeneza mashambulizi pamoja na kukaba, alimkaba hasa mganga akabaki akitweta kwa shughuli pevu iliyokuwa mbele yao.

Wakati huo tulikuwa makini tukisubiri mganga ashushe mzigo ili tuuchukue kupitia kitambaa tulichokuwa tumempa yule mwanamke kujifutia.

Katika harakati hizo mganga alianza kuonesha dalili za kumwaga mzigo, tukawa makini kumushuhudia huku tukiwa kichakani hapo.

Badala ya kumwaga mzigo wake kwa ndani tulimshuhudia mganga akimwaga nje tena kwenye msuli wake. Yule mama hakuonekana kushangaa maana angeweza kumshitua kidogo, pale kichakani tulitamani kumfuata mganga huyo mahali hapo hata tumuue kwa nguvu.

Malaika wa Mungu alituzuia tukabaki tumekaa kichakani hapo, yule mwanamke akajifanyisha kuumia kwa mganga kuweka nje mzigo.

Akamlaghai kwa maneno laini huku mganga akionekana kutabasamu, wakati huo yule mama alikuwa akimfuta mganga huyo kwenye gobole lake kwa kutumia kile kitambaa tulichompa.

Hii kidogo ilileta faraja kwetu kwa kuwa tulianza kuiona nyota ya jaha, ama kweli wahenga walisema "ndege mjanja, hunaswa na tundu bovu".

Licha ya kuwa imara kwa madawa yake tayari mganga alikuwa anaelekea kunasa katika tundu bovu.

Wakati huo walikuwa wakivaa huku wakipiga stori za mapenzi. Watu hawa walikuwa na mielekeo miwili tofauti kabisa, wakati mganga akiwa kazama kwenye lindi la mapenzi haikuwa hivyo kwa upande wa mwanamke yeye alikuwa akitafuta fedha.

Waliendelea na maongezi yao hatimaye maganga akatoa burungutu na kumpatia yule mama, yule mwanamke alizipokea fedha hizo kwa bashasha kisha akazipachika ndani ya sidiria kwa kuwa zilikuwa nyekundu nyekundu.

Yule mganga alimuaga mpenzi wake kisha akaondooka, alipopiga hatua nne mbele za kuondoka alirudi kichakani hapo. Wakati huo tulikuwa tukishuhudia kila jambo lililokuwa likiendelea, tulimuona mganga akimchumu yule mwanamke kisha akakichukua kile kitambaa.

Jambo hilo lilitukera sana, haiwezekani tutumie muda wetu mwingi kumtafuta mganga huyo halafu tumkose. Hata kama wahenga walisema " mbio za sakafuni huishia....." Bado tulikuwa na haki ya kukipata kitambaa hicho, kwanza hakikuwa cha mganga huyo ilikuwa ni mali yetu iweje akichukue? Aliondoka na kitambaa hicho huku mwanamke huyo akiwa hana la kumfanya, tukaamua kumuacha mganga huyo maana wahenga walisema " mwenye nguvu mpishe apite".

Mganga alikuwa katuzidi maarifa kwa mara nyingine, yaani alikuwa kapiga ndege wawili kwa jiwe moja.

Alifanikiwa kutembea na mwanamke huyo, kisha aliweza kuondoka na kitambaa chetu tukimshuhudia kwa macho yetu.

Alipopotea kwenye upeo wa macho yetu tulitoka kichakani hapo na kwenda eneo alipokuwa mwanamke huyo. Hatukuwa na muda wa kumhoji maswali wakati kilichofanyika tulikuwa tumekishuhudia. Tulimpatia mama huyo milioni mbili tasilimu kwa kazi aliyoifanya kisha tukamuomba kuondoka eneo hilo. THE BOMBOM nilikuwa na hasira zisizo mithilika juu ya mganga huyo.

Baada ya mwanamke huyo kuondoka, tulianza kuchunguza labda tungeweza kupata tone hata moja la shahawa lililomwagika chini. Lakini wapi, hakukuwa na tone wala cha ndugu yake na tone.

Tukakubaliana kuchukua nyasi za eneo alilokuwa amelala mganga huyo ili tukaangalie namna ya kumshughulikia.

Wakati tukiendelea kuchukua nyasi hizo kavu, ghafla tulishangaa moto wa ajabu ukilipuka maeneo hayo. Zile nyasi tulizokuwa tumezichukua ziliungua na kuteketea mbele ya macho yetu, hata hivyo hatukukata tamaa tukaamua kuchukua majivu ya nyasi hizo.

Huwezi amini tukiwa kwenye harakati ya kuchukua majivu hayo, kilikuja kimbuga kutokea kusikojulikana kikapeperusha majivu yote yaliyokuwa eneo hilo tukawa tumeshindwa kuyazoa.

Kupitia matukio haya, tuligundua mganga huyo alikuwa hatari. Yamkini tulikuwa tukipambana na miongoni mwa waganga wakongwe na wenye nguvu nchini.

Maana kila tulilokuwa tukijaribu kulifanya mganga huyo alilipangua kwa kutumia nguvu za madawa alizokuwa nazo.

Kwa kuwa tulikuwa tumezidiwa ujanja tuliamua kurudi kambini kwetu, tayari giza lilikuwa limeshaanza kuingia.

Tulifika kambini kila mmoja akiwa na mawazo chungu nzima, kuzidiwa nguvu za kichawi na mganga huyo ingekuwa ni jambo la hatari kwetu na kambi kwa ujumla.

Tulikwenda kukaa kwenye jengo mojawapo kisha tukaanza kujadili namna njema ya kumpata mganga huyo.

Kwa pamoja tulikubaliana kumfuata nyumbani kwake usiku, kule tukapambane kuindoa mazindiko yake kwa namna yeyote. Tukawa tumekubaliana na kuwaruhusu kila mmoja kwenda kujiandaa kwa safari hiyo.

Baada ya kutawanyika hapo nilielekea kwenye chumba cha BUNDI WA GAMBOSHI, kule nilimkuta katulia kama kawaida yake. Baada ya kuingia chumbani humo niliufunga mlango kwa ndani tukabaki na bundi huyo.

Hapa niseme kidogo, wapo bundi wengi wanaotumika katika shughuli za kichawi. Hapa kambini ketu kuna zaidi ya bundi elfu ishirini ambao hutumika katika shughuli mbalimbali za kichawi.

Lakini BUNDI WA GAMBOSHI alikuwa tofauti kabisa na bundi hao. Bundi huyu alitumika katika matukio makubwa na mazito. Mmiliki wa BUNDI WA GAMBOSHI, kambini hapo nilikuwa ni THE BOMBOM tu.

Mara moja moja niliruhusu wasaidizi wangu wawili kumtumia, katika shughuli nyeti na muhimu nilizowaagiza.

Bundi huyo ndiye aliyetumika kunipeleka Heaven kwenye makao makuu ya mkuu wetu wa giza.

Vilevile bundi huyo aliweza kunisaidia katika hali ngumu yeyote iliyonipata. Nilikwenda chumbani humo kumuelezea magumu niliyokuwa nikiyapitia kutoka kwa mganga huyo.

Nilimueleza pia mpango tuliokuwanao usiku wa kwenda kwa mganga huyo.BUNDI WA GAMBOSHI, alinyanyua mbawa zake na kuzitikisa kidogo kisha akaniruhusu kuendelea na mipango yangu.

Nilimshukuru kisha nikatoka chumbani humo na kuelekea kwenye chumba kingine cha madawa.

Kama mbwai na iwe mbwai, nilikuwa nimedhamiria kupambana na mganga huyo ije mvua au lije jua.

Niliingia kwenye chumba cha madawa hicho na kianza kujiandaa, nilichukua baadhi ya dawa nilizokuwa nikiamini zingeweza kutusaidia kuondoa zindiko la kwenye mji huo.

Nilipokamilisha maandalizi hayo nilikwenda chumbani kwangu na kufanya tambiko la mwisho. Muda wa saa tano tayari tulikuwa tumekusanyika kwenye ukumbi wa vikao, zaidi ya wachawi mia tatu wa kambi yetu na wengine mia mbili wa sehemu nyingine tulikuwa tumejumuika.

Wachawi hao walikuwa na kisasi juu ya mganga huyo kwa mambo ya hovyo waliyokuwa wamemfanyia.

Miongoni mwa mambo ambayo wachawi husahau tofauti zao na kuungana ni juu ya mganga anayewasumbua. Hapa huungana na kumshughulikia maana mganga wa namna hiyo ni kikwazo kikubwa kwa wachawi wote.

Kundi hilo lilikuwa limejumuika nasi kwa ajili ya kumshambulia mganga huyo aliyekuwa mwiba mkali kwetu.

Tuliweka mipango yetu sawa kisha tukaondoka, wapo waliotumia usafiri wa upepe, ungo, vijiko, miko, fagio na sahani. Wengine walitumia usafiri wa mbwehe, fisi na paka.

Kwa kuwa tulikuwa tumekubaliana pakukutana haikuwa shida, punde si punde tukawasili kwenye eneo tulilokuwa tumekubaliana. Ilikuwa mbali kidogo na nyumbani kwa mganga huyo, wachawi walionekana kuwa na hasira juu ya mganga huyo.

Wengi wao walitamani kumla nyama mbichi endapo tutamkamata mganga huyo. Miale ya moto ilizagaa maeneo hayo huku kila mchawi akiwa ameshikilia moto wake. Hapa niseme kidogo, ndugu msomaji kuna moto wa aina mbili ambao hutumiwa na wachawi.

Moto huu wa kawaida ambao mnautumi majumbani huwa unatumika katika shughuli zetu, moto wa pili ambao mara nyingi huwa tunautumia kumlikia huwa viganja vya watoto.

Kwa kile usichokijua binadamu mwilini mwake ana asili ya umeme, umeme huo huwa mwingi zaidi seheme za mikono yaani kwenye viganja. Wingi wa umeme hutofautiana kutoka binadamu mmoja kwenda mwingine.

Kwa kiasi kikubwa watoto wachanga wana kiasi kikubwa cha umeme kwenye viganja vya mikono yao. Ndiyo maana huwa tunawachukua kisha kuwakata viganja hivyo kwa shughuli zetu. Viganja hivyo huchanganywa na dawa zingine ili kutoa moto huo.

Kulikuwa na moto mwingi eneo hilo huku wachawi tukiimba kwa pamoja, kwa kuwa mie ndiye nilikuwa mkuu wa msafala huo kila jambo lililofanyika lilipata baraka mikononi mwangu.

Kwa pamoja tulianza kusogea nyumbani kwa mganga huyo huku tukimwaga dawa za kutupa, kutandaza, kupaa na kutawanya. Tuliendelea kusogea kwenye mji huo huku hasira zikiwa zinaongezeka kwa kila mchawi...

Da! Mambo yanazidi kukolea, vita vingine vya kichawi vimeanza nyumbani kwa mganga.

Je, vita hivyo atavishinda kama alivyoponyoka kule kichakani? Naomba usichoke kufuatilia simulizi hii ya kusisimua ya BUNDI WA GAMBOSHI.

Ndugu msomaji jiandae kusoma simulizi ya KANISA LA KICHAWI na simulizi ya KABURI LA RAIS WA HOVYO zitakazokuwa zinakuja mara mbilimbili kwa kila juma.

BHATASHE MUHILA!

THE BOMBON

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news