🔴LIVE:Tathmini ya Uongozi wa Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika kuimarisha Demokrasia Zanzibar na Kudumisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Jumamosi ya Novemba 19, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Tathmini ya Uongozi wa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika kuimarisha Demokrasia Zanzibar na Kudumisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya
Au kupitia

Meeting ID: 856 6167 2125
Passcode: 327133

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano Huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.

Karibu.

Post a Comment

0 Comments