MTOTO BRAITON KAMFREDY MUJUNGU AMETOWEKA MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM

MWANANGU BRAITON KAMFREDY MUJUNGU (PICHANI) AMETOWEKA NYUMBANI KWANGU MBAGALA /CHAMAZI KWA MAPUNDA JANA JIONI NA HAIJULIKANI ALIPO MPAKA SASA BAADA YA KUMSAKA USIKU KUCHA. 

ALIVALIA TRACKSUT YA BLUE YENYE MICHIRIZI MEUPE PEMBENI NA TISHETI YA KIJANI YENYE MISTARI YA KIJANI MKOLEZO NA OPEN SHOES NYEUSI ZENYE LEBO NYEKUNDU JUU.

ATAKAYEPATA TAARIFA YOYOTE KUHUSU MWANANGU ANIPIGIE KUPITIA NAMBA 0675-818229 AU 0762 -831978 AU APELEKWE KITUO CHOCHOTE CHA POLISI KILICHOPO KARIBU NA WEWE. 

NATANGULIZA SHUKRANI NA NIWAOMBE MNISAIDIE KUSAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE MAGROUP YENU ILI TAARIFA ISAMBAE MAPEMA NA KUWAFIKIA WENGI.

ZAWADI NONO NITATOA MIMI BABA YAKE MWENYEWE KWA ATAKAYEFANIKISHA KUPATIKANA KWA MTOTO WANGU.

Post a Comment

0 Comments