Rais Dkt.Mwinyi ateta na uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative

Rai wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Taasisi ya Mwanamke Initiative na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kujitambulisha leo Novemba 23,2022, walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative,kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Mhe.Wanu Hafidh Ameir na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Sabra Ali Mohammed, walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha taasisi yao mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiitive, Bi.Sabra Ali Mohammed akitoa maelezo ya shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo, walipofi Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha taasisi yao na kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative, Mhe.Wanu Hafidh Ameir, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.

Post a Comment

0 Comments