Rais Dkt.Mwinyi ateta na Balozi wa Shirikisho la Somalia nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Balozi wa Shirikisho la Somalia nchini Tanzania, Mhe.Zahra Ali Hassan alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha leo Novemba 23, 2022.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo. Mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somalia nchini Tanzania, Mhe.Zahra Ali Hassan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo alipofika kujitambulisha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news