USIKOSE JUMATANO HII:Mjadala wa Kitaifa kuhusu Tathmini ya Miaka miwili ya Dkt.Hussein Ali Mwinyi madarakani

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Novemba 9, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada; Tathmini ya Miaka miwili ya Dkt.Hussein Ali Mwinyi madarakani

Kuanzia saa 5 kamili asubuhi, Novemba 09, 2022 - Jumatano, utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3sZKMiz

Au kupitia
Meeting ID: 871 3683 0196
Passcode: 590101

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano Huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.

Karibu.

Post a Comment

0 Comments