Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 11,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 210.03 na kuuzwa kwa shilingi 212.07 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.07 na kuuzwa kwa shilingi 130.28.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 11, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.35 na kuuzwa kwa shilingi 631.57 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2611.52 na kuuzwa kwa shilingi 2638.79 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2283.99 na kuuzwa kwa shilingi 2307.76.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.85 na kuuzwa kwa shilingi 2319.82 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7429.81 na kuuzwa kwa shilingi 7493.93.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.86 na kuuzwa kwa shilingi 10.46.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.68 na kuuzwa kwa shilingi 15.83 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 316.77 na kuuzwa kwa shilingi 319.72.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.12 na kuuzwa kwa shilingi 28.39 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.87 na kuuzwa kwa shilingi 19.03.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 11th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3509 631.5701 628.4605 11-Nov-22
2 ATS 147.389 148.695 148.042 11-Nov-22
3 AUD 1468.3772 1483.5249 1475.951 11-Nov-22
4 BEF 50.2758 50.7208 50.4983 11-Nov-22
5 BIF 2.1991 2.2157 2.2074 11-Nov-22
6 CAD 1693.5935 1710.4033 1701.9984 11-Nov-22
7 CHF 2321.6936 2343.4892 2332.5914 11-Nov-22
8 CNY 316.7722 319.7194 318.2458 11-Nov-22
9 DEM 920.3236 1046.1421 983.2328 11-Nov-22
10 DKK 307.1355 310.1363 308.6359 11-Nov-22
11 ESP 12.1894 12.297 12.2432 11-Nov-22
12 EUR 2283.9891 2307.7569 2295.873 11-Nov-22
13 FIM 341.1031 344.1257 342.6144 11-Nov-22
14 FRF 309.1862 311.9212 310.5537 11-Nov-22
15 GBP 2611.5201 2638.7953 2625.1577 11-Nov-22
16 HKD 292.6671 295.5637 294.1154 11-Nov-22
17 INR 28.1259 28.3881 28.257 11-Nov-22
18 ITL 1.0474 1.0567 1.0521 11-Nov-22
19 JPY 15.6782 15.8296 15.7539 11-Nov-22
20 KES 18.8731 19.0305 18.9518 11-Nov-22
21 KRW 1.6662 1.6816 1.6739 11-Nov-22
22 KWD 7429.8101 7493.9269 7461.8685 11-Nov-22
23 MWK 2.0785 2.2387 2.1586 11-Nov-22
24 MYR 488.8999 493.2639 491.0819 11-Nov-22
25 MZM 35.3906 35.6896 35.5401 11-Nov-22
26 NLG 920.3236 928.4851 924.4043 11-Nov-22
27 NOK 220.275 222.4138 221.3444 11-Nov-22
28 NZD 1341.591 1355.9348 1348.7629 11-Nov-22
29 PKR 9.8622 10.4614 10.1618 11-Nov-22
30 RWF 2.1466 2.1718 2.1592 11-Nov-22
31 SAR 610.946 616.8914 613.9187 11-Nov-22
32 SDR 2963.4437 2993.0781 2978.2609 11-Nov-22
33 SEK 210.0267 212.0688 211.0477 11-Nov-22
34 SGD 1636.9835 1652.2935 1644.6385 11-Nov-22
35 UGX 0.5841 0.6129 0.5985 11-Nov-22
36 USD 2296.8514 2319.82 2308.3357 11-Nov-22
37 GOLD 3922275.8599 3962658.5285 3942467.1942 11-Nov-22
38 ZAR 129.075 130.283 129.679 11-Nov-22
39 ZMW 136.4745 141.6684 139.0714 11-Nov-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 11-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news