Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 4,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.33 na kuuzwa kwa shilingi 631.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 4, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.71 na kuuzwa kwa shilingi 27.96 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.91 na kuuzwa kwa shilingi 19.07.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 204.57 na kuuzwa kwa shilingi 206.54 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.27 na kuuzwa kwa shilingi 125.48.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.49 na kuuzwa kwa shilingi 15.54 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 314.02 na kuuzwa kwa shilingi 316.94.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2584.57 na kuuzwa kwa shilingi 2611.11 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2237.29 na kuuzwa kwa shilingi 2260.13.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.78 na kuuzwa kwa shilingi 2319.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7405.63 na kuuzwa kwa shilingi 7460.92.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.83 na kuuzwa kwa shilingi 10.45.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 4th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3321 631.5338 628.4329 04-Nov-22
2 ATS 147.3846 148.6905 148.0375 04-Nov-22
3 AUD 1442.8386 1458.4268 1450.6327 04-Nov-22
4 BEF 50.2743 50.7193 50.4968 04-Nov-22
5 BIF 2.199 2.2156 2.2073 04-Nov-22
6 BWP 169.2728 171.4295 170.3512 04-Nov-22
7 CAD 1665.6626 1681.7094 1673.686 04-Nov-22
8 CHF 2266.4123 2288.1732 2277.2927 04-Nov-22
9 CNY 314.0212 316.9447 315.4829 04-Nov-22
10 CUC 38.3457 43.5879 40.9668 04-Nov-22
11 DEM 920.2958 1046.1105 983.2031 04-Nov-22
12 DKK 300.6023 303.5845 302.0934 04-Nov-22
13 DZD 15.9966 15.9998 15.9982 04-Nov-22
14 ESP 12.189 12.2966 12.2428 04-Nov-22
15 EUR 2237.2955 2260.1324 2248.714 04-Nov-22
16 FIM 341.0928 344.1153 342.604 04-Nov-22
17 FRF 309.1769 311.9117 310.5443 04-Nov-22
18 GBP 2584.569 2611.1106 2597.8398 04-Nov-22
19 HKD 292.5912 295.5133 294.0522 04-Nov-22
20 INR 27.7065 27.965 27.8357 04-Nov-22
21 ITL 1.0474 1.0567 1.052 04-Nov-22
22 JPY 15.4905 15.6444 15.5675 04-Nov-22
23 KES 18.9113 19.0691 18.9902 04-Nov-22
24 KRW 1.6092 1.6248 1.617 04-Nov-22
25 KWD 7405.6303 7460.9224 7433.2764 04-Nov-22
26 MWK 2.0786 2.2386 2.1586 04-Nov-22
27 MYR 484.2978 488.78 486.5389 04-Nov-22
28 MZM 35.3896 35.6885 35.539 04-Nov-22
29 NAD 90.2524 90.9853 90.6189 04-Nov-22
30 NLG 920.2958 928.4571 924.3764 04-Nov-22
31 NOK 216.0986 218.198 217.1483 04-Nov-22
32 NZD 1320.6498 1334.7842 1327.717 04-Nov-22
33 PKR 9.833 10.4493 10.1412 04-Nov-22
34 QAR 709.7539 716.9442 713.349 04-Nov-22
35 RWF 2.1465 2.1758 2.1611 04-Nov-22
36 SAR 611.2527 617.201 614.2269 04-Nov-22
37 SDR 2947.5754 2977.0512 2962.3133 04-Nov-22
38 SEK 204.5694 206.5415 205.5554 04-Nov-22
39 SGD 1614.0423 1629.6101 1621.8262 04-Nov-22
40 TRY 123.3655 124.559 123.9623 04-Nov-22
41 UGX 0.5819 0.6106 0.5963 04-Nov-22
42 USD 2296.7822 2319.75 2308.2661 04-Nov-22
43 GOLD 3716068.8491 3755085.3376 3735577.0933 04-Nov-22
44 ZAR 124.272 125.4807 124.8764 04-Nov-22
45 ZMK 137.5658 142.7978 140.1818 04-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 04-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news