Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 8,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 8, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.79 na kuuzwa kwa shilingi 2319.76 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7418.34 na kuuzwa kwa shilingi 7490.10.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.85 na kuuzwa kwa shilingi 10.47.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.33 na kuuzwa kwa shilingi 631.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.04na kuuzwa kwa shilingi 28.30 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.89 na kuuzwa kwa shilingi 19.05.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 211.50 na kuuzwa kwa shilingi 213.56 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.75 na kuuzwa kwa shilingi 129.98.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.66 na kuuzwa kwa shilingi 15.81 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 317.81 na kuuzwa kwa shilingi 320.85.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2625.00 na kuuzwa kwa shilingi 2652.18 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2288.98 na kuuzwa kwa shilingi 2312.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 8th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3348 631.5365 628.4357 08-Nov-22
2 ATS 147.3852 148.6911 148.0382 08-Nov-22
3 AUD 1481.8902 1497.1731 1489.5317 08-Nov-22
4 BEF 50.2745 50.7195 50.497 08-Nov-22
5 BIF 2.1991 2.2156 2.2073 08-Nov-22
6 BWP 172.9484 175.1419 174.0452 08-Nov-22
7 CAD 1702.2101 1719.1048 1710.6574 08-Nov-22
8 CHF 2320.6952 2342.9553 2331.8252 08-Nov-22
9 CNY 317.8071 320.852 319.3296 08-Nov-22
10 CUC 38.3458 43.5881 40.967 08-Nov-22
11 DEM 920.2997 1046.115 983.2074 08-Nov-22
12 DKK 307.7902 310.7973 309.2938 08-Nov-22
13 DZD 16.3845 16.3911 16.3878 08-Nov-22
14 ESP 12.1891 12.2966 12.2429 08-Nov-22
15 EUR 2288.983 2312.8007 2300.8919 08-Nov-22
16 FIM 341.0942 344.1168 342.6055 08-Nov-22
17 FRF 309.1782 311.9131 310.5456 08-Nov-22
18 GBP 2625.0037 2652.1816 2638.5926 08-Nov-22
19 HKD 292.5924 295.5146 294.0535 08-Nov-22
20 INR 28.0432 28.3046 28.1739 08-Nov-22
21 ITL 1.0474 1.0567 1.052 08-Nov-22
22 JPY 15.6575 15.8108 15.7341 08-Nov-22
23 KES 18.8959 19.0535 18.9747 08-Nov-22
24 KRW 1.6488 1.6645 1.6567 08-Nov-22
25 KWD 7418.3395 7490.1036 7454.2216 08-Nov-22
26 MWK 2.0785 2.2386 2.1586 08-Nov-22
27 MYR 484.7598 489.2976 487.0287 08-Nov-22
28 MZM 35.3897 35.6886 35.5392 08-Nov-22
29 NAD 95.5091 96.3894 95.9492 08-Nov-22
30 NLG 920.2997 928.4611 924.3804 08-Nov-22
31 NOK 223.8982 226.0402 224.9692 08-Nov-22
32 NZD 1357.6338 1372.138 1364.8859 08-Nov-22
33 PKR 9.8553 10.4682 10.1617 08-Nov-22
34 QAR 721.1549 722.2127 721.6838 08-Nov-22
35 RWF 2.1465 2.1748 2.1607 08-Nov-22
36 SAR 611.2554 617.2858 614.2706 08-Nov-22
37 SDR 2936.1042 2965.4652 2950.7847 08-Nov-22
38 SEK 211.5007 213.5567 212.5287 08-Nov-22
39 SGD 1635.5423 1651.3098 1643.4261 08-Nov-22
40 TRY 123.4569 124.6647 124.0608 08-Nov-22
41 UGX 0.5841 0.6129 0.5985 08-Nov-22
42 USD 2296.7921 2319.76 2308.276 08-Nov-22
43 GOLD 3847815.7703 3886665.0896 3867240.4299 08-Nov-22
44 ZAR 128.7512 129.9797 129.3654 08-Nov-22
45 ZMK 137.1852 142.4039 139.7946 08-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 08-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news